PARTY TWO JASUSI LA MAREKANI LATOA SIRI INGINE Descargar

Enviar a tus amigos
Agregar
 • Fecha de estreno: 12 may. 2020

Comentarios

 • jonathan paul
  jonathan paul Hace 1 mes

  Raisi wetu ana akiri kubwa sn huyu mzee Mungu ampe maisha marefu.. Ikibidi awe raisi wa kudumu

 • BBC LIVE 24
  BBC LIVE 24 Hace 1 mes

  Hiki Kitu Ndio Kinanifanya Niendelee Kuikubali Tanzanite TV Una Content Za Akilii

 • Emmyd Zoo
  Emmyd Zoo Hace 1 mes

  Magufuli aliwastukia mapema

 • Venance Mwangonda
  Venance Mwangonda Hace 1 mes

  Hawaelewi lockdown , akili zao ndogo sana wapinzani wa Tanzania lakini tatizo ni kwamba wanatumiwa na mabeberu. Hapa USA hakuna maduka yaliyokuwa yamefungwa. vitu vilivyofungwa na mikusanyiko, shule na vitu vidogo vidogo. Maduka yote yalikuwa wazi. Kwa siku watu tunazunguka zaidi ya ,maduka kumi kutafuta mahitaji ya siku. Walmat, na maduka makubwa yote yalikuwa wazo online market zao zimefanya biashara hakuna mfano mapato ya online yaliyopatikana kipindi hiki yamevunja records. Wewe uko Tanzania hujawai hata kuisha ulaya na USA unataka kulockdown Tanzania. Acheni Wakenya waige kulockdown kwa sababu ya viongozi wao wanafiki na vibaraka wa mabeberu

 • Md Zainb
  Md Zainb Hace 1 mes

  Ukwali utabaki kuwa ukweli hakika unaipenda Tanzania hii kuonyesha jinsi gani watu wanaipenda Tanzania yetu na wenye Tanzania wenyewe eti wanabisha bado nafuatilia tangu uwanze kutuma voice zako mmi najifunza kitu na unaongea ukweli

 • MASHAKA BUNDALA
  MASHAKA BUNDALA Hace 1 mes

  Kamata wapinzani tupandani CHAMA cha wachaga watu wapesa tuu

 • MAGESA MWITA
  MAGESA MWITA Hace 1 mes

  Mtumie vizuri huyo jamaa upate documents ili tuendelee kujua vizuri haya Mambo

 • Yohana Gongo
  Yohana Gongo Hace 1 mes

  Hawa Madalali(CHADEMA) hawawezi kufikilia juu ya maisha ya watanzania zaidi ya kujiwazia maslahi zao binafsi

 • Jackmabiranga Charles

  Safi sana Kiongozi unatufungua Macho kwamba watu weupe ni hatari sana na vibaraka wachache wanaotumiwa kwa Maslahi yao na family zao

 • Rashid Kadobwa
  Rashid Kadobwa Hace 1 mes

  Tuko pamoja na tutamlinda Maguful pande zote za Dunia mungu atusaidie juu hili amiin

 • Numbe Shabani
  Numbe Shabani Hace 1 mes

  Hongera mzee JPM

 • Oliva Mbala
  Oliva Mbala Hace 1 mes

  Watashindwa kwa jina LA Yesu.

 • Deusdebit Kowa
  Deusdebit Kowa Hace 1 mes

  Mange,Mbowe,Zitto,Lissu na Fatuma Karume ni watu hatari sana kwa Taifa hili.

 • John Mbugani
  John Mbugani Hace 1 mes

  Watanzania tumlinde Rais wetu. Sura za watu weupe haziendani na roho zao

 • Queen Winnie
  Queen Winnie Hace 1 mes

  Tanzania ni nchi inayotamaniwa sana na nchi za kigeni kulingana na hali ya amani na utulivu wake, lkn kuna watu wanatumiwa kwa kasirahi yao lkn mwisho watajua, mtu yuko ulaya anakupambu huku ufanye maandamano, kweli kama unaakiri timamu utajiongeza, Mungu asaidie,

 • Kisabo Leonard
  Kisabo Leonard Hace 1 mes

  Umeeleweka kiongoz

 • Link Reuben
  Link Reuben Hace 1 mes

  Safi sana,

 • Mwanaisha Hussein
  Mwanaisha Hussein Hace 1 mes

  Mmmh, jamani inamaana hii corona ilitengezwa kwa malengo kwa Mana hiyo lockdown, iliumiza wanyonge sana. Asante kakaangu kwa kuitoa Africa taka za masikio🙏🙏🙏🇰🇪

 • Mr Emmanuel Julius
  Mr Emmanuel Julius Hace 1 mes

  Daah kweli jamaa anaipenda Africa yake, Mungu ambariki sana.

 • Ndugu Jamaa
  Ndugu Jamaa Hace 1 mes

  Tutashinda tu,,,Tunajua Mabeberu Wasakatonge walaghai,,,Tusimame Imara.